+255655879932
The CYF sees the limitless potential of our youngest citizens, empowering and developing youth as leaders
Creating a society where all young people have fair access to good quality jobs
Preparing Youth As The Next Generation Of Leaders By Connecting Them With Caring Mentoring Relationships
Learn About Us
Entrepreneurial Education We train and Create awareness on entreprneurship skills to youth, children and women groups in various entrepreneurial activities that enable them to aquire both theoretical and practical skill for self-employment
We Create awareness on different public health issues like Gender Based Violence (GBV), childhood pregnancy, Early marriage and HIV/ AIDS. This is possible through conducting training, seminars, sport and games.
We create awareness on various methods of environment conservation and preservation by educating people in the community and schools as well as planting different trees like fruit trees, and shadow trees, in different areas in the cimmunity.
Agriculture Business(Organic Agriculture ) as the key way to generating income we mobilize people especially young people to engage on agriculture business theoretical and practically.
What We Do?
Wetrain youth especially school dropout and single mothers to aquire sustainable skills for future employment
Is the voluntaly campaign that established in 2017 aiming to create awareness on Gender Based Violance
The project that aiming to generate income, mobilize and train youth and children on hortculture activity
ENTREPRENEURIAL EDUCATION
ENVIRONMENTAL CONSERVATION
AGRICULTURE BUSINESS EDUCATION
COMMUNITY HEALTH PROMOTION.
Care Youth Foundation imefanikiwa kuanzisha kituo cha kutoa mafunzo na ujuzi ili kusaidia vijana ambao tayari wameshakuwa wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia na mimba za utotoni pamoja na vijana wanaotoka kwenye kaya zenye mazingira magumu. Aina mbalimbali za ujuzi na mafunzo ya nadharia na vitendo zinaendelea kutolewa na mwitikio wa vijana kupata ujuzi ni mkubwa. Care Youth Foundation kwa kushirikiana Serikali na wadau mbalimbali wamekuwa chachu ya kuhamasisha vijana vijana kupata ujuzi kwa manufaa yao ya baadae pia kituo hiki kimekuwa msaada sana kwa wanafunzi wa vyuo vya juu na vya kati kupata ujuzi pale wanapokuwa kwenye mafunzo kwa vitendo ndani ya ofisi za Care Youth Foundation.
Lengo Langu ni Kampeni endelevu ya kujitolea iliyoanzishwa na kuzinduliwa mwana 2017 ikiwa na lengo la kutekeleza malengo ya Dunia na kuunga mkono juhudi za serikali na wadau kuelimisha jamii juu ya kupambana na kutokomeza vitendo vya unyanyasaji, UKIMWI, ukatili wa kijinsia, ndoa za utotoni na mimba za utotoni. Waelimishaji wanatembelea sehemu mbalimbali kama vile shule za msingi, sekondari, vyuo na mitaani kuelimisha wanajamii hasa vijana. Kampeni hii imeungwa mkono na wadau wengi wa maendeleo ikiwemo serikali, vyombo vya habari, jamii na mashirika ya ndani na nje ya Tanzania. Kupitia kampeni ya Lengo Langu zaidi ya vijana 5000 wamefikiwa na kuunda clubs kwenye shule za sekondari
Watoto wa Kikundi cha CHILD TO CHILD Parokia ya Kiwanja cha Ndege wakisherehekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya 2024 pamoja na kupata elimu mbalimbali kama vile Ukatili kwa watoto ikiwa ni moja ya maandalizi ya kuanza muhula wa kwanza wa masomo Januari 8,2024. Care Youth Foundation kwa kushirikiana na shirika la Maryknoll sisters wamekua msaada kwa watoto wengi hasa wanaotoka kwenye familia zenye mazingira magumu ambao hushindwa kumudu mahitaji muhimu hasa ya chakila na vifaa vya shule. Kila mwanzo wa mwaka Care Youth Foundation pamoja na Maryknoll Sisters hufanya sherehe maalum ya kuwakumbusha jukumu lao la msingi mara baada ya kuanza shule.
Donate Now
All donations made to the Care Youth foundation are allocated 100% to particular programs that directly assist the most vulnerable youth. Many youth across the nation will experience a transformative change in their lives as a result of your support and conviction in the urgency of our work.
Meet Our Team
Co-Founder and General Director
Co-Founder and Executive Director
GBV,THEATER ARTS &HIV/AIDS Consultant
IT Consultant
Become A Volunteer
Dear Volunteers, It is our great pleasure to welcome you to Care Youth Foundation. Care Youth Foundation. is supported by international and local volunteers in Tanzania and remotely. Volunteering at Kids safe is incredibly rewarding and you will directly see the impact you are having.
Get In Touch
Our Blog
Care Youth Foundation Shamba Darasa ni mradi wa kilimo cha mbogamboga unaoendeshwa na asasi ya Care Youth Foundation kwa lengo la kuwafundisha vijana kilimo cha mbogamboga kwa vitendo ili kuwashawishi wawekeze kwenye kilimo cha mboga kama njia mojawapo ya kujiajiri na kujipatia kipato cha kuendesha maisha yao, familia na kuchangia pato la taifa. Idadi kubwa ya vijana hawana hamasa na hawapendi kujishughulisha na kilimo kutokana na mitazamo hasi
Vijana wa kiume ambao waliamua waliounga mkono juhudi za Care Youth Foundation katika kupinga na kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, mimba na ndoa za utotoni katika jamii kupita michezo, wameendele kupata mafunzo mbalimbali ya namna ya kutoa elimu kwa jamii hasa vijana wenzao wanaposhiriki michezo ya mpira wa miguu. Vijana hawa wanashiriki michezo sehemu tofauti wakiwa..
Tarehe 04 Aprili 2019, Asasi ya Care Youth Foundation kwa kushrikiana na shirika la Peace Life for People with Disabilities Foundation ( PLPDF) la jijini Dar es salaam walitembelea kituo cha watu wenye mahitaji maalum cha MEHAYO mkoani Morogoro na kutoa msaada wa mahitaji muhimu katika kituo hicho. Moja ya vitu vilivotolewqa ni Mavazi, chakula na mahitaji ya shule kwa wananfunzi wanaosoma kutoka kituoni hapo/ Wajumbe kutoka mashirika haya walishiriki